Ee Bwana unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, uniokoe na mtu wa hila asiye haki
Kwa nini ninakwenda nikihuzunika adui wakinionea
Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze, zinifikie kwenye mlima watakatifu na hata maskani yako
Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu, kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu, nitakusifu kwa kinubi, Ee Mungu, Mungu wangu, nafsi yangu, kwa nini kuinama na kufadhaika ndani yangu?
Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya na uso wangu, Mungu wangu
ZABURI:43:1:5
Mshkuruni Mungu sana kwa kuwaamsha salama kama kuna wagonjwa Mungu awaponye mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema