Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Supu zinaendelea4/Juliet Ibrahim] Alizaliwa Machi 3 mwaka 1986 huko kwa akina Michael Essien na Andre Ayew
Huyu ni binti wa Kighana anayeonekana zaidi kwenye muvi za Kinigeria
Ameigiza kwenye
4 Play,..
30 Days In Atlanta
Na filamu zingine kemkem
Ana madili kibao ya kueleweka hivyo siyo kama yule staa wa bongo anayeazima hadi nguo za ndani
.........
Hongera sana shem
Aisee huku napambana na hali yangu. Bora angekuwepo tungesaidiana na hali zetu
Maneno kama haya adimu sana sikuhizi, nawe pia shem ubarikiwe..!!Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele kwa haki yako uniponye
Unitegee sikio lako, uniokoe hima uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma ya kuniokoa
Ndiwe genge langu na ngome yangu, kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunguze
ZABURI:31:1:3
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu kristo
...mpenzi wangu ambaye ni mpendwa wangu wa nguvu. Ni wewe ndo unanifanya nipumue, yaani ukiandika machache nahisi kama unanikumbatia na kunifanya niwe kamili na ukiandika mengi najiona niko kando ya mto natizama maji yakitiririka na kuupoza moyo wangu.
Usimsikilize aunt yangu, mambo ya mama Ashura yanamuhusu mumewe. Mimi na wewe tu
Ameen shem adimu lakini kapuku unakutana nayoManeno kama haya adimu sana sikuhizi, nawe pia shem ubarikiwe..!!
Bado bado, tunajenga nchi ya viwonder kwanzakwa nini shem sasa mbona ulisema unapenda portabe jaman au huwa unawaona ndotoni
Kabisaa ndiomana sikosi kupita huku kupata baraka kana hiziAmeen shem adimu lakini kapuku unakutana nayo
Bado bado, tunajenga nchi ya viwonder kwanza
Yupo Mama amepumzika kidogoKabisaa ndiomana sikosi kupita huku kupata baraka kana hizi
Mama mchungaj kapotelea wapi?? Shem
Ujue mpendwa wa binamu navuta tu picha ya mama ashura ni bonge sana halaf maziwa hayooo nyuma pasi kiuno na mganga vyote havijulikani woiiii
Duuhhongera shem kwa kuwabadilisha kama nguo
Sasa hao portable unakuwaga nao wapi jamaan shemDuuhshem kuwabadolisha tena, naona lugha gongana
Nina maana bado najiweka sawa mpaka, mda ukifika
Tumosaaaa...rudisha salamu ya mpendwa wanguuuuuuuu fastaas...lol! Kwa hiyo kumsalimia Tumosa nimefanya makosa? Hamna noma, kama nimekosea kutoa salamu basi mwambieni anirudishie, sitaki lawama na mtu mimi
Kumbe huyu dada wa93 aisee3/Corazon Kqamboka
Amezaliwa mwaka 1993 hapo ukivuka border la Kilimanjaro kwa wale jamaa wanaodai Mlima Kilimanjaro ni wa kwao
Huyu ni binti wa Kikenya
Ni mwanasheria ila ikumbukwe kila Wakili ni mwanasheria ila siyo kila mwanasheria ni wakili
Pia kuna wanasheria ngazi ya cheti,Stashahada na sjahada
anayechuana na Vera Sidika
.................
Kipindi hicho kabla sijawa mtumishiSasa hao portable unakuwaga nao wapi jamaan shem
Jamani si kamsalimia tu he mbona mwamshupalia bae wangu kahAhahhah kumsalimia mke mwee kunahusiana na nini na kuquote comment ya shemela