Makapuku Forum

TOP TEN
Week end huanza Ijumaa hivyo leo sitajadili siasa wala uchumi au mambo ya elimu ni burudani,udaku au starehe kama kawa
Hapa Bongo hakuna asiyemjua Giggy Money(Muuza Supu) ana mzigo wa nguvu.....

Sasa leo tuwaangalie wale wasanii maarufu kumi wanaosifika kwa kujazia
Hapa hakuna akina Masogange kwenye hii list maana wanaongelewa ambao ni maarufu zaidi hivyo kigezo cha kwanza ni umaarufu wao

Karibuni

..............
 
Tushakaribia
 
10/Tracy Obonna Sijajua tarehe wala mwaka wake wa kuzaliwa
Huyu ni muigizaji wa Nollywood huko nchini Nigeria ambaye pia huishi huko kwa Trump

Ana elimu ya Shahada ya Uzamili(Masters in Business and Finance)
Ni Mkurugenzi Mtendaji(CEO) wa kampuni ya Sediore Cosmetics
Tracy hujishughulisha pia na uanamitind

................
 
Anauza supu tsh ngapi?
 
Kweli leo ni mwendo wa supu
 
9/Omotola Jalade Ekeinde

Alizaliwa Februari 7 mwaka 1978
Huyu pia ni mcheza filamu za Kinigeria huko Nollywood
Siyo tu mcheza filamu bali pia ni nyota/superstaa huwezi mlinganisha na akina Johari wa Bongo
Baadhi ya muvi alichocheza na kutamba vilivyo ni
Ije,
A Private Storm,
Mortal Inheritance
& Last Fight to Abuja

Ana mpunga na biashara za kueleweka

............
 

Anaonekana ni strong woman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…