Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Naona wamemsikia wameachana na habari za KoreaUdaku, burudani na michezo View attachment 550655
Naona wamemsikia wameachana na habari za KoreaUdaku, burudani na michezo View attachment 550655
Ahsante mkuu kwa magazeti mubashara Bila kumsahau captain husna muba katika dimbaView attachment 550668Kwa udhamini mnono wa captain husna muba, sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Jumatano njema
UdakuMhhhh mama zari hajafa????
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Good morning my family!
Madame S
NimekaribiaWapendwa tuendelee kuvumiliana Ila kuanzia jumatatu ntakuwa napatikana kama kawaida sababu haya majukumu yatakuwa yameisha.
Natumai wote hamjambo.... Karibuni sana kwenye leo katika historia
Leo katika Historia
1949 - Thaksin Shinawatra anazaliwa.
Ni waziri mkuu wa zamani wa Thailand na aliyekuwa mmiliki wa klabu ya Man City.
Kumbe huo mwaka 47 ulikuwa na mambo mengi ndio maana tulikuta msemo wa mambo ya mwaka 47Leo katika Historia
1947 - Rais wa Marekani anasaini muswada wa kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi nchini humo ( CIA ) pamoja na United States Airforce pamoja na idara ya Ulinzi.
Yote hii ni kutokana na tishio la vita baridi toka Urusi.
Rest in peace CarlosLeo katika Historia
1957 - Carlos Castillo Armas anauliwa.
Alikuwa ni kiongozi wa Guatemala.
Hongera kwa MaldivesLeo katika Historia
1965 - Maldives yajipatia Uhuru wake.
Leo katika Historia
1949 - Thaksin Shinawatra anazaliwa.
Ni waziri mkuu wa zamani wa Thailand na aliyekuwa mmiliki wa klabu ya Man City.
Leo katika Historia
1953 - Felix Magath anazaliwa.
Ni kocha wa mpira wa miguu toka Ujerumani.
Leo katika Historia
1957 - Yuen Biao anazaliwa.
Ni msanii wa movie za mapigano toka Hongkong.
Leo katika Historia
1967 - Jason Statham anazaliwa.
Ni msanii wa movie mashuhuri toka nchini Marekani.
Leo katika Historia
1985 - Gael Clichy anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu klabu ya Man City na Ufaransa.
Happy birthday to allLeo katika Historia
1986 - Leonardo Ulloa anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka Leicester city.
Shukrani sana mkuu JJ kwa historiaKwa hisani ya huu ubusy unaonikabili niite Jimena Jimenes
Nawapenda wote na asante ni kwa kunisoma kwenye leo katika historia
Anafuga bata bataniPamoja sana mdau
Vip siku hizi huvui tena kambale?
![]()
![]()
Sawa sawa![]()
![]()
![]()
Ilikuwa chini ya Wamarekani
Ndiyo maana bendera zao zinafanana
......
Leo katika Historia
1953 - Felix Magath anazaliwa.
Ni kocha wa mpira wa miguu toka Ujerumani.
Vodacom na Airtel wapo vizuri pia ila wana location zao sio kila area utaweza kustream kwa uhuruMtandao gani kwa Dar una internet speed ya kueleweka ya kuweza kuangalia Livestream tofauti na Halotel?
.....
Usemalo ni sahihi kabisaDemu kafuata umaarufu tu wa jamaa
Kuna watu wanapenda umaarufu
Hivyo usishangae hata Harmorapa anapapatikiwa
....
Nakumbuka![]()
![]()
![]()
Camilo ndo avatar ya Mussolin
....
![]()
![]()
Alikuwa kibaraka wa Wamarekani
Alitawala miaka mitatu tu
....
Leo katika Historia
1957 - Yuen Biao anazaliwa.
Ni msanii wa movie za mapigano toka Hongkong.