Dondoo za bbc.

Wawakilishi katika bunge la Marekani wamepiga kura kwa wingi kuweka vikwazo vipya kwa Urusi, Iran na Korea ya Kaskazini , urusi vikwazo vyake ni kuhusiana na shutuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka jana na washirika wake kuwa na silaha za nyuklia na kuzifanyia majaribio kadhaa

Madaktari nchini DRC wapunguza huduma kwa wagonjwa kuelekea mgomo wa kudai maslahi yao

Je ,wanawake na wanaume wana nafasi sawa kugombea viti vya kisiasa nchini Kenya

Mazishi na maziko ni sherehe muhimu ya mwisho ya kuwaenzi na kuwasindikiza wafu katika nyumba zao za milele na ulimwengu mpya wa kiroho chini Ghana

Wasanii maarufu waishio barani Afrika ikiwemo Tanzania huishi maisha ya kutojichanganya na watu katika maisha ya kawaida isipokuwa katika shughuli maalumu, kwa kuhofia kuzongwa na mashabiki au kuwindwa na maadu