Dondoo za bbc.
[emoji117] Wawakilishi katika bunge la Marekani wamepiga kura kwa wingi kuweka vikwazo vipya kwa Urusi, Iran na Korea ya Kaskazini , urusi vikwazo vyake ni kuhusiana na shutuma za kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka jana na washirika wake kuwa na silaha za nyuklia na kuzifanyia majaribio kadhaa
[emoji117] Madaktari nchini DRC wapunguza huduma kwa wagonjwa kuelekea mgomo wa kudai maslahi yao
[emoji117] Je ,wanawake na wanaume wana nafasi sawa kugombea viti vya kisiasa nchini Kenya
[emoji117] Mazishi na maziko ni sherehe muhimu ya mwisho ya kuwaenzi na kuwasindikiza wafu katika nyumba zao za milele na ulimwengu mpya wa kiroho chini Ghana
[emoji117] Wasanii maarufu waishio barani Afrika ikiwemo Tanzania huishi maisha ya kutojichanganya na watu katika maisha ya kawaida isipokuwa katika shughuli maalumu, kwa kuhofia kuzongwa na mashabiki au kuwindwa na maadu