Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Good ntakupa papaiHahahaaa... Mie sio mbeya ataa!
Good ntakupa papaiHahahaaa... Mie sio mbeya ataa!
Mtoto hana shida kabisa anauza maboga.Dunia sio mbaya ika binadamu ndio wabaya...
Kweli mkuu, hana faida yeyote.Ukipata toto au ndugu wa karibu wa hivi ni bora kumpa sumu tu![]()
Ama kweli.Dunia sio mbaya ika binadamu ndio wabaya...
Ulivyotaja papai nimekumbuka boarding skul.Good ntakupa papai
Hawa ndo huwa wanapewa 0713.Mtoto hana shida kabisa anauza maboga.
Acha tu boss.Hawa ndo huwa wanapewa 0713.
Ulikua unayala sana niniUlivyotaja papai nimekumbuka boarding skul.
Njoo na embe tasavali.Good ntakupa papai
Hhahaha.Ulikua unayala sana nini
Haaaa! Nambie vizuri banaHhahaha.
Watu walikuwa wanatafuta papai ambalo limeiva au linakaribia kuiva,then linawekwa juani ili lipate moto kidogo.
Baada ya hapo watu wanafanya mambo yao.
Kama hujaelewa usiulize tena.
*Ugunduzi si lazima ugundue ndege.*
Mlikuwa mnapenda sana kula mapapai ama?Ulivyotaja papai nimekumbuka boarding skul.
Zama za mwisho hizi braza.Acha tu boss.
Sijui hata tunaelekea wapi.
Mimi naogopa bwana,hayo ni mambo ya boys skul.Vibaya hivyo ujue![]()
0714...Mtoto hana shida kabisa anauza maboga.
Inaelekea ilikuwa vile.Ulikua unayala sana nini
Kuna swali amekusogezea hapo juu eti unijibuInaelekea ilikuwa vile.