Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ubusy tu wa wikiendi mkuu..... Bata kidogoJimena ulipotea kidogo
Ubusy tu wa wikiendi mkuu..... Bata kidogoJimena ulipotea kidogo
Eeh wanasema eti wa makaburini ndio kiboko baada ya ule wa njia pandaKwani ndo huwa wanaenda kuchawia makaburini?
Haya shemeji yangu.![]()
![]()
subiri shem, nitakuwekea
Miss you more.... Kikubwa nimerudi tu.Hata mie nimekumiss mbaya, ulikuwa wapi jamani?
Habari ya wafanyakazi day jimenaPoa tu, mambo vipi?
Yes ila usimwambie

Hahahaaa... Mie sio mbeya ataa!Yes ila usimwambie![]()
Arsenal vip?Leicester, yanga, na atletico madrid ni faraja tu mkuu
Dunia imekwisha.Haa..!![]()
![]()
Karibu Man UtdSijui hata nishabikie timu gani, maana duh!
![]()
![]()
Kabisa, naamini kweli tupo katika siku za mwisho.Dunia imekwisha.
Asante braza.Karibu Man Utd
Ukipata toto au ndugu wa karibu wa hivi ni bora kumpa sumu tuDunia imekwisha.

Dunia sio mbaya ika binadamu ndio wabaya...Dunia imekwisha.
Hahahaaa.... ni bora kabisa.Ukipata toto au ndugu wa karibu wa hivi ni bora kumpa sumu tu![]()