Makapuku Forum

Watajua wenyewe, maisha yenyewe haya.... Kuanza kuwekana kwenye mabano ni utoto tuu.... Mwambie mtu ukweli akuelewe
Duh kumbe ulisharejea
Karibu

Hiyo ishu tumewaelewa na kama binadamu kukosoana ni kitu cha kawaida na pia kusameheana na kuvumiliana

Hivyo kama mlivyosema sio sahihi "kuzungumzia mtu/watu" tumewaelewa na kuheshimu maoni yenu maana yana lengo la kujenga
Tuendeleze mengine jamani
......
 
Usijali...

Nimerejea asubuhi mie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…