===HAHAHAHA KUMBE BADO KUNA WATU WANADILI NA HII KITU!!! HUKU BONGO WATU WANAANGALIA MKIA TU WANABEBA WANAWEKA NDANI WAKUNWE VITOVU
===SWAZILAND: Mwanaume mmoja ametaka arudishiwe mahali ya Ng'ombe 24 baada ya kugundua mke aliyemuoa si bikira kama alivyohakikishiwa wakati akifanya taratibu za ndoa.
=== Mwanamke huyo Ruth Thembisile Sibiya amesema kuwa hata yeye hakumkuta mume wake bikira kwakuwa tayari alikuwa na watoto wawili.
===HAKIKISHA NA WEWE MSAFI KABLA HUJAONA UCHAFU WA MWENZIO
Tunasemaga HV Kids love MMU n JLW
But legends loves Jf Intelligence.
Nimejiunga hapa Jf ajili ya lile jukwaa.
Nimekaa miezi mitatu sikoment wala kupost chochote nasoma tuuu Kule, ndio Feb nikajiunga huku KP