Naona umemalizaInategema ni kinga ya kitu gani unaitumia,kama unatumia kinga ili usimpe ujauzito ambao hujapanga na mpenzi/mkeo/mumeo hii ni sawa.Lakini kuvaa kinga ili ujikinge na kisichokuwepo ni tatizo....
Ukimuacha "mwenzio" na hamu kuna hatari moja au mbili...
1;Atakupiga chini
2;Atatoa utam kwa wengine
Nje ya hapo hakuna hatari yoyote ile....
Asante
Kwa udhamini mnono wa Linamo
Tuwe na wakati mwema
Tayari shemGo ahead mtaasisi
VizuriNimejiuliza mengi
Nawe umeridhiaVizuri
Hebu toa hilo signature lako banaaNimependa ushungiii huo
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Niliacha masomo ya uparoko kwa ajili yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli
Ngoja nifanye marekebisho asije akaona shululu
Jamaa yuko vizuri huyuNaona umemaliza
AsanteeTayari shem
Hebu toa hilo signature lako banaa
Usicheke,[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
MnoJamaa yuko vizuri huyu
[emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Basi lazima apitie akitajwa
Ndio ulitoe saasaNikitumia sim ndio lina onekana..
Umeona ee..?!
Ndio ulitoe saasa
Yeah baby...[emoji3][emoji3]Shedede mzee wa usa baby [emoji23][emoji23][emoji23] ye aendelee tu kuwa kwa ras simba
How are u?Hello guyz good afternoon,
post using my macbook air using jamiiforums app