[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji524] Nikasema moyoni mwangu, Mungu atawahukumu wenye haki na wasio na haki kwa kuwa kuna wakati huko kwa kila kusudi na kwa kila kazi
Nikasema moyoni ni kwa sababu ya wanadamu ili Mungu awajaribu nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama jambo moja lawatukia anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu naam wote wanayo pumzi moja wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama kwa maana yote ni ubatili
Wote huendea mahali pamoja wote hutoka katika mavumbi na hata mavumbini hurudi tena [emoji524]
MUHUBIRI 3:17:20
Niwatakie usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu [emoji7]
Basi lazima apitie akitajwaAsanteee sanaaa ubarikiwe mnoo
Bailly5 hope utaipenda
If it is wrong to love you, then my heart just wont let me be right
Coz am drawning in you, i give u my all
I had risk my life to be a yo body next to mine
I love you soooooo much hope u know my love
Madame S
SawaNi kweli anytime nalishushaa
Helloooo
IendeleeHiyo historia ya che Guevara km mtataka iendelee mtanambia
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ujue binamu we mwenyewe upo kwenye list ya wabaya wangu hapa tumekutana
AbsolutelyShem wangu atalala kwa raha cuzoo jaman
Nimekuja my dHata simuoni
No one
Hawezi kuzunguka maana guard ya hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukawiii kumvurugia nyagei binamu ujue
Hapo hakuna haja ya tagging naona mujarabu shem waneMtagi aisee, ili alale vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua shemela binamu obe alivyo akisema anatumia jani siwezi bisha ila ww aisee acha niendelee kushangaa
Wild and freeHa ahahahaahaha, mimi hata sigara tu sivuti! Niangalie na uniamini mimi hata kuinyonga tu sijui
Habari yako mkuumakapuku wote niamkieni.
Muwe na njozi njemaUsiku mwema
[emoji120] [emoji120]Laleni salama makapuku,