Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013



unajua shemela binamu obe alivyo akisema anatumia jani siwezi bisha ila ww aisee acha niendelee kushangaa



unajua shemela binamu obe alivyo akisema anatumia jani siwezi bisha ila ww aisee acha niendelee kushangaaYeye anakupenda sana binamu yako, ndio maana anaakuambiaga Lee alipoHaribu tuaribiane shemela binamu ye si anipendi
Binamu nisaidie basi kuwafukuza jaman si unajua ninavyokupendaHawa wahamiaji haramu kuisha ni ngumu sana, si umemskia rais akiwa kigoma kasema hawapaswi kupewa uraia. Wafukuzwe kabisa hawa mjomba atulie
Najua huwezi shemela wangu wa ukweliHivi naanzaje shemela kuweka jina lako jaman
Nimemshamjua shemelaSasa umejua lakini
Ni kweli shemela vingine kiherehereMoyo kazi yake kusukuma damu
Moyo kazi yake kusukuma damu
Ukweli huo hajui tu unavyoniumiza shemela angekua ananiambia hata viuongo tuYeye anakupenda sana binamu yako, ndio maana anaakuambiaga Lee alipo
Situmii shemela, ukweli kutoka ndani ya nafsi yangu, ila faida ya bangi naijua, ni kubwa sana kuliko madharaunajua shemela binamu obe alivyo akisema anatumia jani siwezi bisha ila ww aisee acha niendelee kushangaa
Ha hahahaaha, jibu mujarabu kabisa. Yeye ana moyo na kazi ya moyo ni kusukuma damu.
Nidai bia.
halafu ujue mimi na aunt yangu tunaelewana sana, yaani niko upande wake sana. sema mjomba ndo anatuchonganisha tukosane



yaan hapo nimekuelewa ujue binamu na code yako
Mmh na hiyo ya kusaga shemelaSitumii shemela, ukweli kutoka ndani ya nafsi yangu, ila faida ya bangi naijua, ni kubwa sana kuliko madhara
unajua shemela binamu obe alivyo akisema anatumia jani siwezi bisha ila ww aisee acha niendelee kushangaa
Mmmh kweli binamu ila safari lager ndio inapanda pekeeHa ahahahaahaha, mimi hata sigara tu sivuti! Niangalie na uniamini mimi hata kuinyonga tu sijui
![]()
Binamu nisaidie basi kuwafukuza jaman si unajua ninavyokupenda
Kweli binamu usiniangushe basi lakini sio kesho ifike unaanza na uvuruge wako mara sijui nani alikuibia walet ukakimbizwa kimeenda kimerudiYaani ukiamka kesho huwakuti, tumekubaliana. Yaani fukuzia mbali arudi home atulie.
Hiyo niliwahi elezewa na Dr mmoja wa mifupaMmh na hiyo ya kusaga shemela