Muziki wa Kipekee
Unataka niseme nini kila nikisoma au hata kujihisi tu kuwa ninasoma chochote anachoandika
husna muba , nampenda hata kama kuniwekea dhamana ni ngumu, analijua hili. Ni smart, anavutia, mchangamfu (hivi kwanini isiwe mchangahai!!!) na ni mtulivu. Anajijua anapoongea na mimi ninakuwa kama niko paradiso na ukimywa wake unanifanya nijihisi vibaya.
Leo kachagua wimbo nami naufanya wimbo wa kipekee.
Hivi unalikumbuka gitaa la Pauline Zongo, utalisikia humu kwa mbali
Asante Husna kwa post ya Che G