Makapuku Forum

7Ukimwi
Ferouz likiri wazi kwamba starehe zimemponza ila MwanaFA kwa umbea akasema marehemu alikufa kwa ngoma
Siku hizi kila mtu ni bonge sasa sijui utamtambuaje
Huu huenezwa zaidi kwa kujamiiana(hatachi ng'o)
Haina tiba bali una kinga(kondomu)....Zamani mtu akiugua hili gonjwa ilikuwa ni rahisi kumjua ila siku hizi ARV zimewafanya watu wanenepe na kupunguza vifo vya mapema
Huua watu 1.8 Milioni kwa mwaka
..... ..
 
Mungu atusitiri tuwe makini

Kupima afya ni vyema zaidi sasa hivi hukupa uhakika juu ya afya yako na inakufanya unakua makini zaidi

Nimevamia sijui [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hope mko poa!! Jioni njema!

Madame S
 
Mungu atunusuru [emoji120] inasikitisha sana
 
Mungu atusitiri tuwe makini

Kupima afya ni vyema zaidi sasa hivi hukupa uhakika juu ya afya yako na inakufanya unakua makini zaidi

Nimevamia sijui [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] hope mko poa!! Jioni njema!

Madame S
Acha tu Bongo ipo kwenye TOP TEN ya nchi zinazoongoza duniani kwa Ukimwi
ARV ndo zimeongeza tatizo maana now kila mtu boge
Kazi tunayo
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…