EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Pole sana kijana, ombea Mungu utapata mke mwema hivi karibuni.
Pole sana kijana, ombea Mungu utapata mke mwema hivi karibuni.
Habari yako bidada!?Nawasalimu wote kwa Jina Bwana![]()
![]()
![]()
Naona unafakamia watu hovyo.Mambo vipi mrembo.
Uliniacha mpweke sana.
Mmmmh...Pole sana mpenzi.
Nisanehe bure.

Yule anayekuzimikiaJamaa yupi tena?
Anataka akuchumbie wewe eti!Umelipenda hili jina?
Si umesema nahrene yuko njiani anarudiFanya basi uje kwangu unipunguzie stress.
Acha roho mbaya.
Vipi tena mummy?Mmmh
Tuombe MunguItakua poa sana matokeo yakiwa hiv
Ooh nilimuonaYule anayekuzimikia
Ameshaolewa huyo.Nahrene hajarudi?
Vyura fc bwanaWa mchangani hamna jipya
Tunampiga 2Leo vipi kwa Azam?
Utabiri wako mzuri japo umekosea hapo juuSimba 0-2 Azam
Man Utd 2-1 Leicester city
Zipu njeAisee huyu mtoto nikimpata naacha kazi.
Na nani tena wa kunipa talaka mie?Umeniona wapi...
Ujue utapewa talaka?
hahaha...tunaongea kilatino mkuuMkuu mshana jr njoo uungane na hawa watu, mie hata sielewi kinachozungumzwa hapa.
Simtaki hata bureAnataka akuchumbie wewe eti!
Yeye.Nani mtoro wa kanisani leo?
Hope umewekana sawaOoh nilimuona
AggyNa nani tena wa kunipa talaka mie?