Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Liverpool kashapigwa 3-1 huku
Anacheza na naniLiverpool kashapigwa 3-1 huku
Hahahaa... Asante shemdarling kwa majibu mazuri.Jitahidi umpatie zawadi nahrene ili mtoto mumuite Linamo![]()
![]()
![]()
Wewe hapo.No2?
Sio kama pishi la tambi?Nimejaa kama pishi la ubwabwa
Tatizo anazingua sanaHahahaa... Asante shemdarling kwa majibu mazuri.
Hahahahah kwanini?Utabiri wako mzuri japo umekosea hapo juu
SwanseaAnacheza na nani
Nimeona na mechi yenyewe imeishaSwansea
Tatizo kikosi alichopanga.Nimeona na mechi yenyewe imeisha
Nyie mnakula zenu tatu safiVyura fc bwana
Nimeeaonea huruma Kama navyoionea the blues timu yanguTatizo kikosi alichopanga.
Spur kesho anakufunga jiandaeNimeeaonea huruma Kama navyoionea the blues timu yangu
Masikini jogoo, hili jogoo likiamaga kuchapwa hula linachapwa haswaaLiverpool kashapigwa 3-1 huku
Poa poa, ila mie sikupendi kabisa.Wakuu tutaonana badaye kidogo....
Nawapenda wote.
Kumbuka pia kulike comment za wenzako.kunywa maji hahaha.
swissme
Mkuu baada ya dk 90 uje hapa tenaNyie mnakula zenu tatu safi