Sahivi huwa najua matokeo kabla the blues wameninyong'onyesha Sana msimu huuSpur kesho anakufunga jiandae
Msimu huu kwenu umekuwa mbovu sanaSahivi huwa najua matokeo kabla the blues wameninyong'onyesha Sana msimu huu
Ili aje awakamatishe ugoni.Si umesema nahrene yuko njiani anarudi
SwanselonaAnacheza na nani
SanaMsimu huu kwenu umekuwa mbovu sana
Hapo kabugiIli aje awakamatishe ugoni.
Hao vyura ndo Yanga ninii?Vyura fc bwana
Simba anashindaHahahahah kwanini?
Kwani huwajui?Hao vyura ndo Yanga ninii?
Hehee... Sijui course zinatolewa wapi?hahaha...tunaongea kilatino mkuu
Mi sijui hata.Kwani huwajui?
Acha hizo basi shempenzi.Simtaki hata bure
Labda msimu ujaoSana
Mechi dakika 90Simba anashinda
Tuzime basi taa tukumbushane enzi hizo.Aggy
Huyo kijana ni mdogo sana, achana nae.Tatizo anazingua sana