Dindai
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 933
- 1,665
Lazima mchezee kichapo safi kabisaItakua poa sana matokeo yakiwa hiv
Lazima mchezee kichapo safi kabisaItakua poa sana matokeo yakiwa hiv
Mimi ni mzungu baba yangu ni mzungu ila tumezaliwa mara machinjioni.ila sasa niko Mikocheni karibu na nyumba nzuri ya nyerere.soon nitarudi kuogelea hapa home kuna swimming pool karibu.Mkuu unatokea bukoba sehemu gani?
Sasa mbona akili yako sio ya kizunguMimi ni mzungu baba yangu ni mzungu ila tumezaliwa mara machinjioni.ila sasa niko Mikocheni karibu na nyumba nzuri ya nyerere.soon nitarudi kuogelea hapa home kuna swimming pool karibu.
swissme

Nadhani huu uzungu wako umeupata kwa mkorogo kama Ray.Mimi ni mzungu baba yangu ni mzungu ila tumezaliwa mara machinjioni.ila sasa niko Mikocheni karibu na nyumba nzuri ya nyerere.soon nitarudi kuogelea hapa home kuna swimming pool karibu.
swissme
Mie mkusanya sadaka siwezi kosaAsante.
Wewe umeenda lakini?
Asante.
Wewe umeenda lakini?
Safi sana kijana
Okay, sasa nilikuwa na shida ya kama laki mbili naomba unikopeshe hizo sadaka halafu nitarudisha jpili ijayo.Mie mkusanya sadaka siwezi kosa![]()
Oo hoooOkay, sasa nilikuwa na shida ya kama laki mbili naomba unikopeshe hizo sadaka halafu nitarudisha jpili ijayo.

Ila nasikia mmegraduate kwenda kanisani na vyeti mlishapata mnasubiri tu siku ya hukumu.Safi sana kijana
Maneno maneno sipendeleiIla nasikia mmegraduate kwenda kanisani na vyeti mlishapata mnasubiri tu siku ya hukumu.
Hongereni....
Poa poaWakuu tutaonana badaye kidogo....
Nawapenda wote.
Anawasalimieni sana.Yuko poa sana
Wee vipi?Huyu jamaa ananiandama sana.
Maoni yapi tena?Wakuu mna maoni gani kuhusu umoja huu!
Toa maoni, una imarika au unalegea?
kunywa maji hahaha.Nadhani huu uzungu wako umeupata kwa mkorogo kama Ray.
kwasababu lumumba buku 7 inaonekana Elimu yao ni chini sana.Sasa mbona akili yako sio ya kizungu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()