Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi

Asiuache mguu wako usogezwe asisinzie akulindaye.

Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi yeye aliye mlinzi wa Israel.

Bwana ndiye mlinzi wako, Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku.

Bwana atakulinda na mabaya yote atakulinda nafsi yako.
Bwana atakulinda utokapo na uingiapo Tangu sasa na na hata milele

Zaburi 121:1:8

Muwe na mchana mwema mbarikiwe sana
Ameni mke mweee ubarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom