Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Mambo[emoji3]Mzunguuuu
post using my macbook air using jamiiforums app
Mambo[emoji3]Mzunguuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka thana....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jitahidi muzungu
[emoji3][emoji3][emoji3]shem umeanza sasaRasi simba amechukua lugha yke
ShemejiiiiiiHaya shemela
Mapembelo...[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwambie me napendlea kikinga,kisafwa na kinyaki Obe shahidi
Marahaba Mjukuu mweeShikamoo babu
Kwema mkuu karibu..
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mguu wa shingo mguu wa roho....Ole wako cku nikijing'ata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya shemelaWe jtahidi tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Actuchanganye na lugha iliokuja na meli[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Obe au mie[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aongee kiswahili hatutaki sie
Vip mkuu...Kwema humu
Napenda tende saanaZenj huku safi Tu karibu tende hapa nakula![]()
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Kweli mke mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aongee kiswahili hatutaki sie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Today is difficult, tomorrow is even more difficult, the day after tomorrow is so beautiful.
BUT MANY PEOPLE DIE TOMORROW EVENING.
Kwema,karibuKwema humu
Barikiwa sana...[emoji524] Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi
Asiuache mguu wako usogezwe asisinzie akulindaye.
Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi yeye aliye mlinzi wa Israel.
Bwana ndiye mlinzi wako, Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku.
Bwana atakulinda na mabaya yote atakulinda nafsi yako.
Bwana atakulinda utokapo na uingiapo Tangu sasa na na hata milele
Zaburi 121:1:8 [emoji7] [emoji7]
Muwe na mchana mwema mbarikiwe sana [emoji120]
ShukraniZenj huku safi Tu karibu tende hapa nakula![]()
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] babu mweeMarahaba Mjukuu mwee
Ushamba wako huoZimenishinda hizo vitu