Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Vizuri....wewe hata usipinielewa huwa najihisi umenielewa
Vizuri....wewe hata usipinielewa huwa najihisi umenielewa
[emoji106]Saa 2:30 kuelekea saa 3:00 poa
[emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiki kisauti ungekitolea chumbani nikitam sana hapa unatufaidisha tu.
VP baba double jAisee
Ushakuja kwahiyo hakijaharibika kituMweeeeh Mbona hamjaniita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pale wahenga wanapokunata kubembelezana[emoji4] [emoji4] [emoji4] hadi najionaga nimekuwa mkuuuuuubwa yaani yale maghorofa ya kariakoo nayaangalia kwa chini
Hapana chezea kubembelezwa banaa hasa na chaguo la moyo wako
[emoji23][emoji23][emoji23] utabaki na mimi binamu yangu...na wewe unamuunga mkono anko wangu?
Hivi mimi humu nitabaki na nani wa kunisapoti jamani
Tupo poa lovie za weweMko poa?
Madame S
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa wakubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Pa watoto hapo
Asante pia kwa mapichapicha![]()
![]()
Ahsante sana mdau
.....
Ujue wamemfukuza mama yangu sababu ya signature nimeleta neno watu hawataki jamaan eti hawana dini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] afu nyieeee
Huu mchezo wenu Wa kudiscus signature za watu huuu ohooo
Mnaona mpaka BH kasepa hata neno hatupati now days
Akuimbie bana nione mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wamenoga tu![]()
Shumie kwa kupenda baiskeli
Lee lazima akonde
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji4] [emoji4] [emoji4] hadi najionaga nimekuwa mkuuuuuubwa yaani yale maghorofa ya kariakoo nayaangalia kwa chini
Hapana chezea kubembelezwa banaa hasa na chaguo la moyo wako
Halafu itakuwa kweli Rainyundo kajianzishia uzi na yule anayetukana ni yeye au Mrs Tapeli[emoji23][emoji23][emoji23] utabaki na mimi binamu yangu
Una mkwala aiseeHapo sawa ya kule yaishie kule kule
Tuko poa kabisa ndugu, vip weyeMko poa?
Madame S
:
Poleni Mukongo,Shululu & Clkey
.....