Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwa wapole hivyo jaman nacheka sana
[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkiwa wapole hivyo jaman nacheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....nakuona na mie, tunaonana ujue
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Akuuu me napambana na hali yngu
Ebu mwimbie hapa binamu nione......sio hisia tena aunt, ni ukweli usiona na kutu kuwa nampenda na ninambembeleza hadi namuimbia
Mungu amtangulie kwenye safari yakeD mzima sana baba yake simpati kwenye simu ujue na safari aliyoenda
Ameen shemela [emoji120]Mungu amtangulie kwenye safari yake
Hv ww umempa nn Obe lakin
Labda mwezi ujao maana wiki ijayo tutaenda southNendeni ununio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....hili swali limekaa kisagishaji mashine sana, yaani nachopewa kama cha kuchora
binamu yangu alivyo mchumi sitaki kuamini mie labda kama hiyo safari yote unagharamia weweLabda mwezi ujao maana wiki ijayo tutaenda south
[emoji6] [emoji6]Amesema upo binamu
D mzima sana baba yake simpati kwenye simu ujue na safari aliyoenda
Nimekuelewa mpendwa[emoji4]Lol! Nije mjini usijue dear, utani tu huo wanasema so unajua tena Mimi na wewe kuna wahenga hawatulii kabisa
Basi ukuje hapa kwenye pwezaSawa ila nili flash cm hivyo usitegemee labda mbinu ingine
binamu yangu alivyo mchumi sitaki kuamini mie labda kama hiyo safari yote unagharamia wewe
Saa 2:30 kuelekea saa 3:00 poaBasi ukuje hapa kwenye pweza
Hiki kisauti ungekitolea chumbani nikitam sana hapa unatufaidisha tu.Woiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hii iko poa zaidi mida ya usiku?Nendeni ununio
Ipo ukanda wa kunduchiMkuu hii iko poa zaidi mida ya usiku?
Na ipo pande zipi?