Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/Bryan Williams
348dc5439a483ed396950d10da6f4587.jpg
90253f44e3eea26784dd1f06ccd15c8a.jpg
76d1db5e056f4991d69afdf569702882.jpg

Ana umri wa miaka 45
Anajulikana zaidi kama Birdman ila hana jeuri ya kuruka angani kama anavyofanya Batman
Huyu anavuta mkwanja kutokana na mikataba yake minono aliyosaidi mfano Cash Money ,pia ana biashara kibao pamoja na majumba ya kifahari :
Ana utajiri wa USD 230 milioni
.......
 
4/Curtis James Jackson III
7d4dd499f684e7108ae2a940f81948a6.jpg
dcadebd80d30fba9412538ef84fcc37e.jpg
801c59acd497cc7c177e8eba440a8c60.jpg
Nani asiyemfahamu huyu Mswahili? Anajiita 50 Cent ila ana miliki dola badala ya vijisenti vya Change anavyotusumbilia wabongo
Ana umri wa miaka 38
Utotoni alikulia katika umaskini uliotopea ikiwemo kulelewa na bibi yake.
Anewahi kutandikwa risasi lakini akapona.
Ana dili kibao za kuvutia mpunga
Ana utajiri wa USD 240 Milioni
......
 
Back
Top Bottom