Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
9/Calvin Cordozar Breadus Jr![]()
Anajulikana kama Snoop Dogg![]()
Ana tabia kibao za kikorofi pia ana watoto kibao...jamaa anapenda bangi kupitiliza
Ana umri wa miaka 42
Anaingiza mkwanja kutokana na biashara zake nje ya muziki ikiwemo kampuni ya filamu iitwayo Wash and Bones,pia ana kampuni ya mavazi n.k
Ana utajiri unaofikia USD 110 milioni
........
Anapenda bangi kupitiliza kila mtu na chaguo lake hongera zake aisee