Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Man u kwenye ubora wake kabisaYaani tumemkomesha City
Ila Lukaku kabla ya goli alikuwa kafichwa kabisa
Nawaona Lingard na Rashford siku hizi wanaimprove kidogo na kuelewana
GGMU
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......