Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Ni hatariii8/Wrestling
Huu mchezo ukiwaangalia akina John Cena,Hulk Horgan ,Machoman n.k utauona kama maigizo tu
Kuna mieleka ya aina nyingi pia ya ridhaa...hapa pia wanakutana madume ya soka mwendo wa kupogana vipepsi na makabali tu
Wengi huvunjika mifupa..pia inapotokea mtu kurushwa nje ya ulingo ni hatari
Pia ulingo unapowekewa sentenceDon't try this at home!!!!
.........
Mbavu zangu !!!Naonaga wanao ucheza Wanavifua kama bao la chapati, nawaonaga kwenye Muvi za Leon Schuster wa SA
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nomaaaaaa8/Wrestling
Huu mchezo ukiwaangalia akina John Cena,Hulk Horgan ,Machoman n.k utauona kama maigizo tu
Kuna mieleka ya aina nyingi pia ya ridhaa...hapa pia wanakutana madume ya soka mwendo wa kupogana vipepsi na makabali tu
Wengi huvunjika mifupa..pia inapotokea mtu kurushwa nje ya ulingo ni hatari
Pia ulingo unapowekewa sentenceDon't try this at home!!!!
.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbavu zangu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
. .....
Baba niwekee Vikatuni vya Rabbid Invassion
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yuko wapiiiMpendwaa nakuona ujueee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haha hahaaaa
[emoji23] [emoji23] konyezooo hiloo balaa
Ni poa tuNi vipi
Anapita kimya kimyaYuko wapiii
Huu mchezo jamaan8/Wrestling
Huu mchezo ukiwaangalia akina John Cena,Hulk Horgan ,Machoman n.k utauona kama maigizo tu
Kuna mieleka ya aina nyingi pia ya ridhaa...hapa pia wanakutana madume ya soka mwendo wa kupogana vipepsi na makabali tu
Wengi huvunjika mifupa..pia inapotokea mtu kurushwa nje ya ulingo ni hatari
Pia ulingo unapowekewa sentenceDon't try this at home!!!!
.........
Woyoooooo mke mwee naona umeamua kutuwekea watoto wako wawili [emoji23][emoji23][emoji23]Huu naona ni mtaa wa vipofu