Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Endelea kucheza redeHuu mchezo jamaan
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Endelea kucheza redeHuu mchezo jamaan
Aisee acha tu niendelee kucheza rede zanguEndelea kucheza rede
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] story inanogaaHakuna mkate mgumu mbele ya chai namuona palee dr asha na kamishna shebby wakitaka kurogana
Nakuonaaa[emoji23] [emoji23] konyezooo hiloo balaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hutu tududu hua twanichekesha aiseee na mishe mishe zao za kwenda mwezini..
Hapo ndio patamu sehemu hizo jamaan baba d usituangushe basi kipande hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] story inanogaa
7/Boxing
Hapa tunaongelea ndondi za kawaida pamoja na n ickboxing![]()
Juzijuzi tu zimepigwa ngumi za kufa mtu kati ya Anthony Joshua na Vladimir Klitschko's ambapo tulishuhudia ngumi nzito kama mawe
Pia sio muda mrefu mdogo wa Matumla alizimia uwanjani baada ya kupigwa ngumu ya kichwani
Hapa wengi hupata madhara ya muda mrefu au mfupi
Mfano inasadikiwa Muhammad Alli baada ya kustaafu ngumi alipata ugonjwa uliotokana na madhara ya kupigana ndondi ambazo ziliathiri sehemu ya ubongo
Ila hawa jamaa huvuta mkwanja mrefu si mnamkumbuka yule mswahili Floyd Mayweather Jr :
......
WifeeMpendwa wa binamu endelea basi hiyo story
KeshoMpendwa wa binamu endelea basi hiyo story
NIMEQUOTEE MIMIMpendwa wa binamu endelea basi hiyo story
my hubby [emoji8]Wifee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Endelea kucheza rede
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Oooh mmeanza tena jaman we si unacopy mpendwa wa binamu tupia tu hata mara mbiliKesho
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Oooh mmeanza tena jaman we si unacopy mpendwa wa binamu tupia tu hata mara mbili
TunaonanaaNakuonaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NIMEQUOTEE MIMI
Umemimisikaaamy hubby [emoji8]