Makapuku Forum

9/Rugby

Huu mchezo nao ni hatari
Kwa Afrika unachezwa zaidi wazungu Wa Afrika ya Kusini
Wachezaji wake ni mbavu nene maana kuna kukimbia,krruka na kusukumana hivyo wengi huumia mbavu,kuvunjika pia,kuzimia n.k
Ajali zake mbaya mara nyingi ni zile za kugongana ambazo wachezaji huzimia na hata kupoteza maisha
: ........
 
Naonaga wanao ucheza Wanavifua kama bao la chapati, nawaonaga kwenye Muvi za Leon Schuster wa SA
 
Duuu
 
Duuuu
 
8/Wrestling
Huu mchezo ukiwaangalia akina John Cena,Hulk Horgan ,Machoman n.k utauona kama maigizo tu
Kuna mieleka ya aina nyingi pia ya ridhaa...hapa pia wanakutana madume ya soka mwendo wa kupogana vipepsi na makabali tu
Wengi huvunjika mifupa..pia inapotokea mtu kurushwa nje ya ulingo ni hatari
Pia ulingo unapowekewa sentence Don't try this at home!!!!
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…