Makapuku Forum

Hayo maneno yana maana kubwa
Shukrani mdau
....
 
Mimi ni bahali
Kaa mbali na mimi

.....
 
Umekosea mdau ...

Chelsea ameeanza kumsaka Morata mapema kabla ya man u ....fuatilia vizuri tangu msimu uliopita
Hujaelewa
Bawasema Madrid na Man Utd
Wamegundua Man Utd msimu huu ikiimarika kwa kuwapa wachezaji basi UEFA upinzani utaongezeka dhidi yao
Nafikiri pia wanatukomoa kwa kuwabania De Gea....sasa sitegemei kama kuna mchezaji wa Man Utd ataenda Madrid miaka ya Karibuni
.......
 
Still unakosea ...man u walipeleka dau gani wakakataliwa ukiacha maneno ya magazeti ...

Morinho alimtaka kabinetii ikazenguaa ...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…