shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Wasema![]()
![]()
badili jina hilo utapata
Usimwambie binamu yako lakiniNdo unachepukaa na madenge ??
Nakumbuka honey, japo huwa mwepesi wa kusahau ila wewe ukisema kitu nakumbuka sisahau.

Haaaaahaaaa majibu ni siri ya mgonjwaMpenzi Husna, hivi si unakumbuka majuzi ulinisindikiza kwa daktari wa moyo?
Poa poa mvuvi wa kambaleEnd![]()
.
.
.
.
.
Kutokana na kuwa maeneo korofi leo hakutakuwa na kumi kubwa
Tukutane kesho
Niwatakie jioni njema
......
My love
Muziki: Usiseme Sana, Ninarudi
Nafsi yangu inaniaminisha kuwa uko salama kabisa Kapuku mheshimika siku hii ya leo, a hump day, yeah siku ya kati ya wiki ambayo sio siri huwa ngumu kwa kuwa tu tunakuwa tunaikaribia Alhamisi. Ukweli usemwe, usikae kimya kisa tu hutaki kusema sana, sema tu kuwa pamoja na ugumu wa siku ya Jumatano bado KF inaifanya siku hii kuwa nzuri na rahisi sana. Asante Kapuku mwenzangu, wewe ni wa kupigiwa mfano mwema and KF is a Bomb!
Shukurani kwa anko wangu lee empire kwa magazeti, hadithi na BBC na kama Nyagei (mtu wa spoti huyu) alivyosema leo umepiga hat trick, siwezi kumsahau shululu kwa uwasilishaji wake wa magazeti, nikushukuru Jimena kwa historia, husna muba kwa 'ufahamu' na kwa story Tupac na Guantanamo nilikuwa najua baadhi sema leo tumejifunza mengi, asante Bitoz kwa Je wajua. Ninyi watu ni watu mko vizuri na sisi watu muhimu wa humu tunasema asanteni.
Niseme nini ili nisionekana nasema sana. Nitasema, ni nzuri kumuona demi akiwa kaja kututembelea, yaani huyu ni mgeni mwenyeji kumkaribisha ni kupoteza muda maana anajua kila kona ya humu (sina hakika kama anajua siku hizi nakaa mbele kabisa na nimenunua viatu vipya-naamini nikisema manunuzi ninayofanya huugui tumbo, vyoo viko mbali jitahidi kujibana).
Muziki sasa, hivi unajua muziki wa reggae ni muzki ambao unachezeka katika hali yoyote ambayo unakuwa nayo wewe mpenzi mchezaji? yeah, hata ukiwa umekaa , umesimama , umesimamishwa unaweza kufurahia midundo ya reggae. binafsi napenda ile reggae ngumu ya kina Roots, Culture, Ethiopian, Burning Spear, Israel Vibration na laini za kina Gregory Issac na wengine.
Unawajua Morgan Heritage, kama huwajui sio ishu maana ndo maana tuko hapa KF, hii ni familia ya muziki, ndugu hawa wakiwa wanatokea Jamaica na huwa wanakusanyika pamoja kwenye kutoa burudani, tunaburudika nao leo, majina yao ni Peter "Peetah" Morgan, Una Morgan, Roy 'Gramps' Morgan, Nakhamyah "Lukes" Morgan na Memmalatel "Mr. Mojo" Morgan
![]()
Kama akipenda aende tuMorata anaweza kwenda Chelsea
Yaaaaah kitu kishatikiiMorata anaweza kwenda Chelsea
Sasa si nilikuwa nakuweka mjiniMjomba ujue wewe ndo nakulaumu. Hivi kwanini ulinunulia simu ya tachi? I miss my nokia 3310
Muziki: Usiseme Sana, Ninarudi
Nafsi yangu inaniaminisha kuwa uko salama kabisa Kapuku mheshimika siku hii ya leo, a hump day, yeah siku ya kati ya wiki ambayo sio siri huwa ngumu kwa kuwa tu tunakuwa tunaikaribia Alhamisi. Ukweli usemwe, usikae kimya kisa tu hutaki kusema sana, sema tu kuwa pamoja na ugumu wa siku ya Jumatano bado KF inaifanya siku hii kuwa nzuri na rahisi sana. Asante Kapuku mwenzangu, wewe ni wa kupigiwa mfano mwema and KF is a Bomb!
Shukurani kwa anko wangu lee empire kwa magazeti, hadithi na BBC na kama Nyagei (mtu wa spoti huyu) alivyosema leo umepiga hat trick, siwezi kumsahau shululu kwa uwasilishaji wake wa magazeti, nikushukuru Jimena kwa historia, husna muba kwa 'ufahamu' na kwa story Tupac na Guantanamo nilikuwa najua baadhi sema leo tumejifunza mengi, asante Bitoz kwa Je wajua. Ninyi watu ni watu mko vizuri na sisi watu muhimu wa humu tunasema asanteni.
Niseme nini ili nisionekana nasema sana. Nitasema, ni nzuri kumuona demi akiwa kaja kututembelea, yaani huyu ni mgeni mwenyeji kumkaribisha ni kupoteza muda maana anajua kila kona ya humu (sina hakika kama anajua siku hizi nakaa mbele kabisa na nimenunua viatu vipya-naamini nikisema manunuzi ninayofanya huugui tumbo, vyoo viko mbali jitahidi kujibana).
Muziki sasa, hivi unajua muziki wa reggae ni muzki ambao unachezeka katika hali yoyote ambayo unakuwa nayo wewe mpenzi mchezaji? yeah, hata ukiwa umekaa , umesimama , umesimamishwa unaweza kufurahia midundo ya reggae. binafsi napenda ile reggae ngumu ya kina Roots, Culture, Ethiopian, Burning Spear, Israel Vibration na laini za kina Gregory Issac na wengine.
Unawajua Morgan Heritage, kama huwajui sio ishu maana ndo maana tuko hapa KF, hii ni familia ya muziki, ndugu hawa wakiwa wanatokea Jamaica na huwa wanakusanyika pamoja kwenye kutoa burudani, tunaburudika nao leo, majina yao ni Peter "Peetah" Morgan, Una Morgan, Roy 'Gramps' Morgan, Nakhamyah "Lukes" Morgan na Memmalatel "Mr. Mojo" Morgan
![]()
£80Yaaaaah kitu kishatikii
Asantee wote mlioifanya kapuku leo ionekane kwenye latest updates. ..
Don't mess with kansiime. ...
Usiku mwemaa wadau