Makapuku Forum

Makapuku Forum

79e4472197cf3e67d279a2755fac5ba4.jpg
Duh kuna watu wanafaidi life
.....
 
Hapa nasubiria watu maarufu waliozaliwa siku kama ya leo


Endelea kusubiri, ngoja nikupe jina la yule maarufu kabisa aliyezaliwa leo, na ana majina kibao mara aitwe Faranga, Hela, Pesa, Money, ila mimi napenda jina lake liendane na wale mapacha wenzake, mmoja anitwa Pombe (sio rais)... na pacha mwingine unamjua?

Good morning Wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom