Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nazani Jana nilishakuelekeza matumizi ya hayo masurufuNakusalimia mjomba.
Asubuhi njema Makapuku.
Nimeamka salama kipindi cha kwanza kimeanza bado bila bila, ila leo upepo uko upande wangu. Nimekutana na mhasibu akasmile akagonga tano najua masurufu yangu yatatoka.
You great people have a great rest of the day, tukutane jioni jioni
Mchana mnaakiana usiku mnavuana kyuuupiShikamoo baba watoto
Go aheadMichezo inafuata karibu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]....kuna siku ulishawahi kuniunga mkono kwenye mambo mazuri !??
....inang'ara kweli hata huku naiona, uliogea sabuni ya kufulia nini? Komoa, inang'arisha hiyo
Mwizi kaibiwaaNa yeye anaweza kuibiwa vile vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna msanii sijui anaitwa DNA anataka ajue kwanini mama wawili ana watoto mapacha wanapishana miaka
Kwahiyo uliyopika jana ni punje za mahindi na maharageUshawahi kufumaniwa wewe?
Hafu silagi kande banaa
[emoji106] [emoji120]PREMIER LEAGUE ASIA TROPHY
Tukutane baadae kwenye matokeo ya mechi za leo
[emoji106]Asante twin
VP twin?[emoji1][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nzuri Mke mdogo Wa leeWakuu habari zenu..
Nashukuru Husna.Nzuri Mke mdogo Wa lee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mko poa ndugu zangu?
Pangeni mstari niwagawie tende na ndimu..
Itakuwa kispanyola hichoShangaa na ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushilawadu huo sasaKwahiyo uliyopika jana ni punje za mahindi na maharage
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
[emoji106]Nashukuru Husna.
Acha hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushilawadu huo sasa
Hata km ni kweli ndio uje kutangaza humu?!Acha hizo
Nasema ukweli mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Basi juzi ulipika pilau nyamaHata km ni kweli ndio uje kutangaza humu?!
Au na mm nianze kusema ??!!!!!!