Asanteee1/Fierce Snake
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
Nitakuja unitembezeMimi naishi pwani hasa!! So mambo kama haya mengine mageni kwangu mengine nimeyashuhudia
Siku moja jaribu kujionea
Madame S
Dah mkuu umenifurahisha ulivyosema vya singida uchwara1/Fierce Snake
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
1/Fierce Snake
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
Aisee, tunakutakia kila la heriHello family...
Niwaage tu kwa muda usiojulikana.. Nitakuwa nje ya jf na kapuku pia...
Niwatakie tuu siku njema na maisha mema pia....
Nitawamiss kweeeli!!!!! Shunie, you know where to find me....
You guys take care of yourselves.....
Sakayo
Asanteee1/Fierce Snake
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
My loveNaona leo umekaa kiti cha mbele kamz ulivoahidi na umeelewa haraka
Nmekuona unavo ng'aa binamu c umemetisha vyote...yeah, nimekaa kiti cha mbele kabisa, hujaona viatu vyangu vipya? Au unatembea unaangalia juu kama mtu asiye na saa?
ShemelaBora kule kwetu Mara viumbe hivi tunavisikia tu
Asante bitoz kwa kumi kubwa1/Fierce Snake
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
Thanks T tunakupenda jamaanThank you Sakayo.
Asante Obe! Asante Shunie..!
Much appriciation to you guys..!
Sawa kumbe tupo wengiYeah, naifuatilia kwa ukaribu sana, story yake imenitachi, inavutia yaani sana tu.
Asante mme mweeDon't Mess with Kansiime.
.."Thamini cha kwako "
Kapuku hapa huwa ni sehemu sahihi kabisa kila kunapopambazuka mpaka giza totoro , kuelimishana kila jambo linazidi kuipa sifa jukwaa letu ..huwepo wako hapa jukwaan wewe kapuku ni thaman tosha ...asante wote na uzuri mengi binamu wangu kaongea ...
Baada ya 10 kuliko za Bitoz mwenyewe tukasindikizwa na mziki toka kwa binamu wangu wa faida na mchango wa kapuku wote ni jukumu langu kukuwekea clip kidogo ya comedy ila yeye mafunzo ndan yake....
Ni vizuri tukathamini kila tulichonacho make thamani ya chochote ulichonacho /uliynaye utaiona endapo siku moja utakuwa unakikosa /unamkosa ...ata kama unakiona cha kawaida ila kithamini ...
Nishasahau mie unaquote za week iliyopitaKafanya je?
Za weweDada
Shemela wa mimi niajeAsanteee
Binamu asante sana dada angu atafurahi sanaMuziki: Kupumzika ni Muhimu
Hakuna ubishi kuwa KF ni sehemu bora kabisa kulinganisha na majukwaa mengine humu JF, na unajua ni kwanini hili linabaki kuwa jukwaa bora kabisa la mfano? Kama huji nitakujuza leo, hapa ni facts bila farts ( a fart free zone) kwa mujibu wa wataalamu wetu wa utafiti usio rasmi profesa Mndali ndanyelakakomu na dokta mzeewakungoa . Kubwa zaidi sehemu hii ni nzuri kwa sababu wewe upo, yeah wewe unayesoma muda huu uko hapa ni smart sana na unalifanya jukwaa letu kuwa mukide.
Mapumziko ni muhimu wadau, msiseme sijawaambia maana sihitaji kuwaambia the obvious (kitu kinachojulikana wazi). Ukiwa ni mwanafunzi, baba, mama, mfanyakazi na zaidi ukiwa Kapuku unahitaji mapumziko, kujenga mwili na kuuhisha akili ili uweze kuwa timamu na kamili kabisa katika kujenga nchi. Shukurani kwa member wenzetu ambao wameamua kuchukua mapumziko Sakayo , Clkey , Mussolin5 , BlessedHope, husna muba , Tumosa kutaja wachache.
Asante sana kwa mjomba lee empire kutupatia UF, dondoo za BBC, na hadithi, asante shululu kwa magazeti, asante Jimena kwa historia, asante Nyagei kwa matokea na dondoo za michezo, na asante Bitoz kwa kubwa 10 na picha nzuri kabisa. Nyinyi wadau mnatufanya Makapuku tuwe na furaha na waelewa wakati wote, tunawiwa deni nanyi, nasi hatuchoki kusema asante. Karibu sana Madame S hapa KF uwepo wako unalifanya jukwaa hili kupendeza sana. Aunt yangu Shunie unajua sina sababu ya kukusahau kukushukuru kwa kuwepo hapa.
Muziki sasa, inawezekana huupendi sana muziki wa Rock, yeah, ni muziki wa gitaa za umeme zinazopigwa kwa fujo na ni maarufu US na Uropa (Arsenal anacheza Uropa ha hahahaha-chezea namba nne wewe). Ila kuna soft rock hii inapigwa taratibu na utaipenda na ndiyo itatuburudisha leo ikiwa ni dedication kwa mdau mwenzetu Transcend
Burudika na ufurahie gitaa
Asante Sakayo kwa pick of the day, mapumziko mema