Makapuku Forum

Thank you Sakayo.

Asante Obe! Asante Shunie..!

Much appriciation to you guys..!
 
Bora kule kwetu Mara viumbe hivi tunavisikia tu
 
1/Fierce Snake
Anapatikana nchini/barani Australia
Ni nyoka jamii ya chatu ....achana na vichatu uchwara vya sijui Singida huyu ni habari ya kijijini
Huwa na urefu wa mita 1.8 hadi 2.5 ila pia ikitokea huweza kuvuka hup urefu kama watu aina ya Hasheem Thabeet
Huyu nyoka ana sumu kaliiiiiii
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
 
Na kwako pia

Asante kwa mada japo nimeikuta njianina nimeweza kuielewa

Alamsiq Mungu akipenda kesho


Madame S
 
Asante kwa 10 kubwa
 
Ahsate, nawe pia, tukutane kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't Mess with Kansiime.

.."Thamini cha kwako "

Kapuku hapa huwa ni sehemu sahihi kabisa kila kunapopambazuka mpaka giza totoro , kuelimishana kila jambo linazidi kuipa sifa jukwaa letu ..huwepo wako hapa jukwaan wewe kapuku ni thaman tosha ...asante wote na uzuri mengi binamu wangu kaongea ...

Baada ya 10 kuliko za Bitoz mwenyewe tukasindikizwa na mziki toka kwa binamu wangu wa faida na mchango wa kapuku wote ni jukumu langu kukuwekea clip kidogo ya comedy ila yeye mafunzo ndan yake....

Ni vizuri tukathamini kila tulichonacho make thamani ya chochote ulichonacho /uliynaye utaiona endapo siku moja utakuwa unakikosa /unamkosa ...ata kama unakiona cha kawaida ila kithamini ...



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…