5/Hippo
Kiuhalisia kiboko ni herbivorous yaani anakula majani kama ng'ombe tu ila mara kibao tu keshabambwa akijichana na kitoweo a.k.a nyama
Wanapatikana kwa wingi barani Afrika ambayo huotwapia River horse yaani farasi wa mtoni
Silaha yake kuu ni meno(jaw) na Mara kibao hujeruhi na kuua watu
.....
Asantee
Haha unamjua unamfaham?? Maana me ndio ninamjua
Alinambia mnafahamiana
Madame S
Talakaa hipiii jamanii...,hakuna shida kati yetu, talaka nilikuwa naiongelea ya mjomba wangu anataka kupewa talaka. mimi penzi bado jipya sana yaani tunaitana honey na sweet , mara sugar , dearest na mengine kama hayo, tukianza kuitana majina yetu ya kuzaliwa ujue talaka inakaribia
NimesikiaaHongera sana, vipi hamna mpango wa kupeana talaka hivi karibuni?
Asante kwa majibu sasa ameelewa. Mjomba umesikia?
Nipo nina week sasa hiviSawa ukiwa Joto City unitafute
.....
DadaWataelewana huko huko kitandani
Kafanya je?T kavuruga shemela
Utapata kweli huo muda wa kubadili status2/Box Jellyfish
Anatajwa kama samaki/mnyama mwenye sumu kali zaidi duniani.....mbaya zaidi ana life spam mkubwa na hafi kwa magonjwa
Ana sumu yenye uwezo wa kuua hadi watu 50
Akikugusa tu ndani ya sekunde/dakika kiduchu tu utaitwa marehemu kama hujachukua hatua
Hivyo kama unatumia smartphone ya water proof basi haraka bafilisha status na kundika RIP ili masela wajue ushapata janga
......
Inawezekana!Huyu ni "Box Jellyfish" inawrzekana wapo aina tofauti tofauti
Huyu sio wa kumchezea
.......
Asantee binamuMuziki: Kupumzika ni Muhimu
Hakuna ubishi kuwa KF ni sehemu bora kabisa kulinganisha na majukwaa mengine humu JF, na unajua ni kwanini hili linabaki kuwa jukwaa bora kabisa la mfano? Kama huji nitakujuza leo, hapa ni facts bila farts ( a fart free zone) kwa mujibu wa wataalamu wetu wa utafiti usio rasmi profesa Mndali ndanyelakakomu na dokta mzeewakungoa . Kubwa zaidi sehemu hii ni nzuri kwa sababu wewe upo, yeah wewe unayesoma muda huu uko hapa ni smart sana na unalifanya jukwaa letu kuwa mukide.
Mapumziko ni muhimu wadau, msiseme sijawaambia maana sihitaji kuwaambia the obvious (kitu kinachojulikana wazi). Ukiwa ni mwanafunzi, baba, mama, mfanyakazi na zaidi ukiwa Kapuku unahitaji mapumziko, kujenga mwili na kuuhisha akili ili uweze kuwa timamu na kamili kabisa katika kujenga nchi. Shukurani kwa member wenzetu ambao wameamua kuchukua mapumziko Sakayo , Clkey , Mussolin5 , BlessedHope, husna muba , Tumosa kutaja wachache.
Asante sana kwa mjomba lee empire kutupatia UF, dondoo za BBC, na hadithi, asante shululu kwa magazeti, asante Jimena kwa historia, asante Nyagei kwa matokea na dondoo za michezo, na asante Bitoz kwa kubwa 10 na picha nzuri kabisa. Nyinyi wadau mnatufanya Makapuku tuwe na furaha na waelewa wakati wote, tunawiwa deni nanyi, nasi hatuchoki kusema asante. Karibu sana Madame S hapa KF uwepo wako unalifanya jukwaa hili kupendeza sana. Aunt yangu Shunie unajua sina sababu ya kukusahau kukushukuru kwa kuwepo hapa.
Muziki sasa, inawezekana huupendi sana muziki wa Rock, yeah, ni muziki wa gitaa za umeme zinazopigwa kwa fujo na ni maarufu US na Uropa (Arsenal anacheza Uropa ha hahahaha-chezea namba nne wewe). Ila kuna soft rock hii inapigwa taratibu na utaipenda na ndiyo itatuburudisha leo ikiwa ni dedication kwa mdau mwenzetu Transcend
Burudika na ufurahie gitaa
Asante Sakayo kwa pick of the day, mapumziko mema
KaribuSalaam kwenu makapuku wenzangu polen kwa mihangaiko ya kutwa nzima wakuu
Yaani umeze jellyfish???Babaa huyo unammezaje sasa kwa mfanoo sindo kifo chenyewe kama ulivyomwambia madam s ampige unyeke/roba tembo..
Bora hata hao viumbe wanapatikana huko maana huku ni shida x1000
Huyu ndo tigerfish
Hawafanani kabisa hata kwa rangi
Piranha kama anavyofanana jina na akina Ronaldinho anapatikana Brazil
.......
Asante, pole na weweSalaam kwenu makapuku wenzangu polen kwa mihangaiko ya kutwa nzima wakuu
Naona leo umekaa kiti cha mbele kamz ulivoahidi na umeelewa haraka.....no, huyu jamaa wa mwisho ni mpelelezi komando toka JW. Anataka kumdodosa bubu aambiwe story nzima, atakaa gerezani mwezi mzima then aanze kufuatilia.
Naamini nimeisoma sawia
Poa kesho or next nitakujia chembaNipo nina week sasa hivi
Madame S
Bora hata hao viumbe wanapatikana huko maana huku ni shida x1000