Duh, hatari sana.
Japokuwa anko wangu alitembeaga na mama Said mpika chapati ambaye ni bonge kama tembo lakini hakupondwapondwa. Si eti anko?
Just around broHi,
Long time no see my friend, where were you?
post using my macbook air using jamiiforums app
YupoYupo humu jf
Achana nae na kwa taarifa yake bhinamu ujio wa shedede na macbook jumlisha na ungenge bhasi husna namuona sumbawangaNitamsindikiza ndio binamu hata akienda kwa mdogo wa mama ashura
Baba D mkimaliza kushoot movie usisahau kuniletea niangalieLakini kule tunashuuutiiii moviee...si nilikwambiaa dili la kuigiza kaole limetikiii
Wacha nifaidiiiii
Yupo ndio mtafuteYupo
Unajua lengo lake huyu binamu. ..nyie mchekeenii mtajua wenyeweeNdio hiyo ni booster tosha nitatamba KF nzima
Ondoa shaka akija nitakujuza
Achana nae na kwa taarifa yake bhinamu ujio wa shedede na macbook jumlisha na ungenge bhasi husna namuona sumbawanga
Unajuaa raha ya vibonge au ....muulize mama DDuh, hatari sana.
Japokuwa anko wangu alitembeaga na mama Said mpika chapati ambaye ni bonge kama tembo lakini hakupondwapondwa. Si eti anko?
Achana nae na kwa taarifa yake bhinamu ujio wa shedede na macbook jumlisha na ungenge bhasi husna namuona sumbawanga
Kwani humjui binamu mtu wa kugawa likes na asantee ....
Huwa tunakutana huko na kwinginekoYupo ndio mtafute
Baba D lakini sio ubonge huo wa mama said jamanUnajuaa raha ya vibonge au ....muulize mama D
Danger sana7/Saltwater CrocodileWanapatikana barani Afrika,Asia na Australia
Wanaishi kwenye mito na maziwa ya maji chumvi ndo chanzo cha jina lao
Huwa na urefu kati ya futi 5 hadi 20
Wana tabia ya kunyatia mawindo kimyakimya yaani ni fundi wa kuwinda
Pia ana spidi kubwa awapo majini hivyo huwezi kushindana nae
Ana meno makali balaa hivyo kwake kuvunja mfupa ni sawa na kuvunja bisjuti tu
Kwa mwaka hiua na kujeruji takribani watu 600 hadi 800
.....
Huyo ni muuaji hatari sana7/Saltwater CrocodileWanapatikana barani Afrika,Asia na Australia
Wanaishi kwenye mito na maziwa ya maji chumvi ndo chanzo cha jina lao
Huwa na urefu kati ya futi 5 hadi 20
Wana tabia ya kunyatia mawindo kimyakimya yaani ni fundi wa kuwinda
Pia ana spidi kubwa awapo majini hivyo huwezi kushindana nae
Ana meno makali balaa hivyo kwake kuvunja mfupa ni sawa na kuvunja bisjuti tu
Kwa mwaka hiua na kujeruji takribani watu 600 hadi 800
.....
Kuna ubonge mwingine ni shida shem kama huyo mama side inaonekana ni kibonge sanaaa tumbo tumbo limeshukausiniumize mbavu
Kwani humjui binamu mtu wa kugawa likes na asantee ....
Amezoeaa wauza vitumbua akitoa oda ya 1000 anajiona taita ....
Binamu watu wameenda kwa rasi simba kamasio rasi faru kisa tamuuu
Wacha nimtazame mtaasisi atakapoishiaUnajua lengo lake huyu binamu. ..nyie mchekeenii mtajua wenyewee