Na hua hana kishindo akitembea hua hatua zake hazisikiki pamoja na kua na uzito mkubwa9/Elephant
Ndiye mnyama mkubwa zaidi wa nchi kavu uzito wake huweza kufikia tani 6 na ushee
Silaha yake kuu ni trunk kwa kiswahili nasikia ni mkonga....huutumia kuangusha mito,magari n.k kwake huu ndo kama mkono
Pia anatumia miguu yake kudhuru watu/wanyama yaani akikukanyaga ndani ya dakika sifuri unavunjika mbavu na kujinyea
Uzito wake mkubwa nao ni silaha
Ukipita Mikumi na gari lako punguza mbwembwe ana uwezo wa kulipindua,kulinyanyua na kulipondaponda au kulikanyaga likawa kama chapati za Mama Said
....
Kumkumbuka hakuna matataHuo wa kummiss si uchochezi jamaan
Kumkumbuka hakuna matataHuo wa kummiss si uchochezi jamaan
Mkuu naomba mrejesho hapo kwenye bold10/Poison Dart Frog
Ana rangi mbalimbali za kuvutia wapo wa zambarau,wekundu,kijani n.k
Wanapatikana huko Amerika Kusini na pia Amerika ya kati
Hapa nazingumzia chura mtemi haswa japo ana umbo dpgo kati ya am 1.5 hadi 6.... Kama umezoea kuwapigapiga teke vyura wazembe wazembe kitaani kwenu basi ukienda huko Amerika Kusini chunga sana la sivyo utaumia
Silaha take kuu ni sumu iliyo mwilini mwake yaani anatema sumu pia nafikiri ngozi yake nayo majanga
Uzuri wa ngozi/rangi zao wanazitumia tu kama chambo na kupumbaza maboya
.....
Salama kabisa mkuuHabar za jioni wandugu
Aliniambia unanisalimia mamy
Asante sana mdau. Si unajua kina sie tunapenda tujue kama mchezaji wetu kafungaNimekusikia mtaasisi
Hello guyHello guyz?
post using my macbook air using jamiiforums app
Yule wa kofia auHa ahahhahahaha, mimi ni Mzee wa spoilers, unataka nibashiri Mr X ni nani? Unamkumbuka yule mdingi aliyekuwa anapigapiga simu nadhani ni episode ya 23-27?
Kweli Baba D nitavumilia tuKweliiii???
Za majukumu kamandaSalama kabisa mkuu
Mmh jamaanHata sijamfanya kitu...... Ni bado mapema kumpa vitu
Ha ahahhahaah, tangu jana nilisema nakaa siti ya mbele, naona umeniwahi. Nakaa ubaoni kabisa , sitaki kuwa wa mwisho everydayAhsante nimewahi siti ya mbele
Kweliii shem ujue umenifukuzia cuzoo wanguJamani
Ha ahahhahaah, tangu jana nilisema nakaa siti ya mbele, naona umeniwahi. Nakaa ubaoni kabisa , sitaki kuwa wa mwisho everyday
Ndio ivoHell yeah!!
Good thing is nyote mko poa hilo ndio la kushukuru
Madame S