Dindai
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 933
- 1,665
Hahahahahaa sasa wa shift za usiku sijui atawafanya niniKumbuka kuna wengine hawalali maana wana shift za usiku.
Hahahahahaa sasa wa shift za usiku sijui atawafanya niniKumbuka kuna wengine hawalali maana wana shift za usiku.
Umeonaeee?Hahahaa watalala mchana
Nyie mbona mnaumia sana? Mnataka ndugu yenu awe bachelor milele?Huna ndoa hapo, jipange tu.
YeahUmeonaeee?
Nitawachoma sindano za usingiziHahahahahaa sasa wa shift za usiku sijui atawafanya nini
Binadamu wabaya sana. Si ndugu wala marafiki tuwenao makini my love. Hasa kipindi tukielekea kwenye ndoa takatifu
Yeye mwenyew ndo mpango wake kuwa bachala mileleNyie mbona mnaumia sana? Mnataka ndugu yenu awe bachelor milele?
Mmmh alikuambia?Yeye mwenyew ndo mpango wake kuwa bachala milele
Na kweli my babe! Tusisikilize maneno yaoBinadamu wabaya sana. Si ndugu wala marafiki tuwenao makini my love. Hasa kipindi tukielekea kwenye ndoa takatifu
Kweli kabisa baby. Sisi tufanye yetu tu.Na kweli my babe! Tusisikilize maneno yao
*bachelaYeye mwenyew ndo mpango wake kuwa bachala milele
Yes baby!Kweli kabisa baby. Sisi tufanye yetu tu.
Habari ya jpili Mussolin*bachela
Niliona mbali sana babyYes baby!
Kivip babe!Niliona mbali sana baby
Asante mkuu Mussolin5*bachela