Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Watasema sana na usiku watalala,Wachonge tu. Usiku ukifika watalala.
Kama kunipenda najua unanipenda sana,
Watasema sana na usiku watalala,Wachonge tu. Usiku ukifika watalala.
Hahahaa... Ni kweli kabisa.Yeah itabidi wauvumilie tu uchumba sugu maana hamna namna
Yes my loveWatasema sana na usiku watalala,
Kama kunipenda najua unanipenda sana,

Kwani dhambi au?Makapuku hawanaga huo muda isee
Upo ndani ya moyo wake?Mimi namjua anakudanganya.
Hakuna muowaji hapa.
Leo nimetoka church sitaki unafki.
Ni kweli kabisa kaka, njoo pm nkuonyeshe ushahidi.ya kweli hayo kaka
Hiyo haina mvuto.Na ya bomani?
Basi wewe endelea tu.Upo ndani ya moyo wake?
Usirudie tena kufanya dhambi mkuu japo ninauhakika huwezi kiacha dhambi hasa ile yetu vijana na wazeeAcha tu mkuu,haya maisha yana mambo mengi sana.
Ila natumai mwenyezi Mungu amenisamehe makosa yangu yote
Amina*

Ila kama kuna ka ukweli, mwambie tu ukweli shem wetu akae anajua.Mimi namjua anakudanganya.
Hakuna muowaji hapa.
Leo nimetoka church sitaki unafki.
Tuombeane mkuu.Usirudie tena kufanya dhambi mkuu japo ninauhakika huwezi kiacha dhambi hasa ile yetu vijana na wazee![]()
![]()
Ww kufa tu. Ila ndoa lazima tufunge.Basi wewe endelea tu.
Usije sema sikusema,nasema haya kabla sijafa.
Mzima wewe?Morningg
Mimi namwambia akikataa atajua mwenyewe.Ila kama kuna ka ukweli, mwambie tu ukweli shem wetu akae anajua.
Th NameIla kama kuna ka ukweli, mwambie tu ukweli shem wetu akae anajua.
Mzima wewe?
Si umwambie tu ukweli shem wetu ili ajue?Kwangu
Kanisani
Sawa mama.Ww kufa tu. Ila ndoa lazima tufunge.