Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Ni hivi baby, kukuchagua wewe sijafanya makosa.Kivip babe!
Ni hivi baby, kukuchagua wewe sijafanya makosa.Kivip babe!
Acha kudanganya.Ni hivi baby, kukuchagua wewe sijafanya makosa.
njema mkuu, za kwako?Habari ya jpili Mussolin
mia mkuu...Asante mkuu Mussolin5
Anadanganya waziwazi kabisaAcha kudanganya.
Mimi mzima kabisa mkuu.njema mkuu, za kwako?
Asante baby!Ni hivi baby, kukuchagua wewe sijafanya makosa.
Huyu jamaa muongo sana.Anadanganya waziwazi kabisa
vp mvua meimosi inasemaje?Mimi mzima kabisa mkuu.
Mungu anasaidia.
Ur welcome babyAsante baby!
Mkuu huku kwetu Mwenyezi mungu anaendelea kushusha mvua ya maana.vp mvua meimosi inasemaje?
Mtoto mwenyewe anaonekana kashakubali tatzo ndo linaanzia hapaHuyu jamaa muongo sana.
Anamdanganya mtoto wa watu mchana kweupe.
Endeleeni kuchonga tu.Acha kudanganya.
Anadanganya waziwazi kabisa
Wajuzi wa mambo wanasema *Mapenzi ni upofu*Mtoto mwenyewe anaonekana kashakubali tatzo ndo linaanzia hapa
Ha ha ha acha inyeshe mkuuMkuu huku kwetu Mwenyezi mungu anaendelea kushusha mvua ya maana.
Yani utafikiri leo ni sikukuu ya wakulima.
Baraka hizo mkuuMkuu huku kwetu Mwenyezi mungu anaendelea kushusha mvua ya maana.
Yani utafikiri leo ni sikukuu ya wakulima.
Msimu wake huu...wacha inyeshe tuHa ha ha acha inyeshe mkuu
Kweli mkuu.Baraka hizo mkuu
Huyu jamaa muongo sana.
Anamdanganya mtoto wa watu mchana kweupe.
Anadanganya waziwazi kabisa
Acha kudanganya.
Mtoto mwenyewe anaonekana kashakubali tatzo ndo linaanzia hapa
Acheni fitna, we Youngblood kakinge maji ya mvua.Wajuzi wa mambo wanasema *Mapenzi ni upofu*