shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Umefurahi mwenyewe, kama nakuona vileJamaan sawa mama wawili na baba wawili
Umefurahi mwenyewe, kama nakuona vileJamaan sawa mama wawili na baba wawili
[emoji3][emoji3][emoji3]Umefurahi mwenyewe, kama nakuona vile
Aisee![]()
Cc Shedele
.....
Nawe pia shemejiMuwe na usiku mwema...
Obe nimesubiri wimbo mpaka nalala.... Ukimuona T mpe wimbo huoooo
Nawe pia, babu yake mtu furani hivi akiwa kwenye ubora wake![]()
Tukutane kesho wadau
Niwatakie Usiku mwema
....,..
Wa kunyumbani pareee kanyigo [emoji3] [emoji3]Binamuuu kama hizo nyimbo zilizochaguliwa hutaki naomba hii nyimbo mpya ya saida karoli orugambo
Muziki: J3 kuelekea J4
Ni usiku mwingine tukielekea kuikamilisha Jumatatu, kapuku mheshimika ninakusalimia nikiamini siku ya leo ilikuwa nzuri sana na Jumatatu ilikuwa nzuri ukijipanga kuitafuta Jumanne siku ambayo ni ile ile kama J3 sema tarehe tu ndo zinabadilika na ukitizama kalenda yako hakuna kinachofanana na jana utakiona.
Ukijaribu kuzitizama hizi siku kikamilifu utagundua kabisa kuwa kadiri zinavyokwenda ndivyo wewe binafsi unazidi kubadilika, kiumbo hadi kiakili, unaanza kuitazama kesho na kuhakikisha kuwa kesho kutwa haikukuti ukiwa kama leo. Tutiane shime tuweze kufanikisha kila ndoto zetu halali tunazowaza.
Leo humu jukwaani kulikuwa poa sana, shukrani kwa Sakayo na Transcend kwa kutuchangamsha na kutuaminsiha kuwa migogoro ndo hutufanya tuwe thabiti katika kuhusiana kwetu, you guys are great pipo. Pole kwa BH kwa kusumbuliwa na miguu, atapona ana atarudi kuungana nasi tena hapa, salamu zimfikie.
Muziki sasa, unajua sisi hapa Mtwara naamini ni tofauti sana na wakazi wa mikoa mingine linapokuja suala la movies, huku sisi ni wapenzi wa'nachi' yaani Indian movies toka Bollywood, huku utakutana na kian Mithun Chakarabot, Govinda (sic) na kina nani sijui. Na hata tunapocheza soka, ukipigwa tobo (doba) basi kila mtu atashangilia. Bhaaa, ndo hivyo njomba, kunywa nipa na samaki nchanga mbona shega tu bwana wewe
Burudika muda huu tukijiandaa kusikiza chaguo la wasikilizaji
Jua anaenda kuleeeeeeBaba D ebu rudi jamaan
Kwani shemela we wa hukoWa kunyumbani pareee kanyigo [emoji3] [emoji3]
Aende tu shemela lakini mwisho wa siku anarudi nyumbaniJua anaenda kuleeeeee
Ulivyofurahi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ulivyofurahi sasa
Ataileta tu, yupo studioBinamuuu nataka nilale mie orugambo unaniwekea au huweki nijue nilale
Huko napajua sana shemelaKwani shemela we wa huko
Hapo umesema shemelaAende tu shemela lakini mwisho wa siku anarudi nyumbani
Mmh shemelaHuko napajua sana shemela
Binamu ukuje jamaanAtaileta tu, yupo studio
Mwanaume hafugwi shemela wanguHapo umesema shemela
[emoji106] [emoji106]Worry out
Asante binamu niwekee orugambo ya saida karoli