Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii komesha kwa watu kama binamu mpenda michepuko japo yake ni ya uhakika yaan kula kunywa na kulishwa ....kapuku thamani yako ni kubwa sana unapotenga mda wako na kushinda hapa tukishare mawili matatu yote ya kuelimishana na kutaniana ....
Kapuku ni kiboko panaweza kukufanya ata usahau kula hasa pale jukwaa linapochangamka ni ukweli ulio wazi panatusaidia sana make stress zote za siku na familia zikiwemo tunazisahau tukiwa humu.....

Kama kawaida baada ya bhinamu kunifundisha kuapuloooodiii video hapa za youtube mwendo wa kuwaleteaa cheusi wanguuu. ....

Don't mess with kansiime. ...enjoy it....




Asante anko, nimecheka sana kwa hii clip. Yaani unaweza kudondosha glass ya mvinyo hivi hivi
 
Udhamini

Tupate tangazo la wadhamini wetu waliowekana moyoni wanatamani wasijeachana ikwa orugambo
Shunie na anko wangu lee empire bila kumsahau muongea kizungu shedede


Binamu yangu asante sanaaaaaa
Nimecheka sana kwa shedede muongea kizungu [emoji23][emoji23][emoji23]


Baba D hii nyimbo ikufikie popote ulipo hunnie [emoji8]
 
Aunt yangu mwenyewe, wajua navyofurahia kukuona hapa na naamini unafurahi na mimi kwa kila hali. Tangu niko kwenye PhD (mjomba sitakusahau kwa kunidhamini masomo huku ukimwambia leccha anisapulishe- joke)

Na si umeona nafanya masterPhD
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu acha nilale jamaan mbavu zangu
 
Back
Top Bottom