Huyu huyu mmoja niliyenaye, anayewashinda wote maana hashindani na mtu. Nampenda maana anapendeka na kwa kuwa mimi ni mtulivu basi ananipenda bila masharti, mrembo wa kupendeza, anajipodoa anapodoka na mpododo umetuliza shanga a wewe.
minaweza kukesha naandika sifa zake zote