[emoji101] [emoji101]Lol! Tulikubaliana anko hakuna kufukua makaburi, sasa mimi nitazibua choo tuone kama hujaomba usuluhishi kama kwa wale mapacha Jenny na Jennifer.
Na hiki choo ni cha stand FYI, wasafiri wote wanaokulaga mahindi na mayai ya kuchemsha ndo kituo chao cha mapumziko
Mtoto ni mmoja tuMnani changanya kwakweli, mala baba "d" mala baba "b" au mna watoto wawili?
post using my macbook air pro using jamiiforums
Sawa binamu mpenzi wa husna...tumshagraduate sasa, unaweza kutumia mpenzi au mpendwa interchangeably, yote sawa yaani kama manukato na unyunyu
Shedede[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179]
Kama wewe ulivozamia msikitiniii siku ile
WawiliWanaitwa naniiii
Wanaitwa naniiii
Ako kaneno ka mwishooo kamenirudishaaBaba D utajikwaaa ujue ebu fanya urudi jamaan ujue nakupenda
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Asante binamu ujumbe umenifikia mubashara ubarikiwe sana binamu yangu najua mapenzi yana nguvu sana
Hehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muhenga kwenye ubora wako
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ameen mke mwee zimefika
Kwani vipi
Naona umekuwa addicted sana na kuachwa kwako na husna, tatizo ni nini afandeGo on, kamanda
cc husna muba
Sijaelewa rudiaaaSi umeelewa lakini
Wenzio watia ndimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vingine haviliki ujue
Mmmmmmh[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179]
Haaaaahaaaa, ngoja nione cc inayofuataNzuri mkuu
Cc.obe
Husna akufundshe kutumia cmuHivi mbona simu yangu haina hutu tuemoji? Nataka nimtumie mpenzi wangu
Yaani weweLeo anafuraha sana
[emoji35] maswali mengine banaa!Kweli aisee, labda tumuulize husna muba alikuwa anampa nini hivi
Unataka nnMnani changanya kwakweli, mala baba "d" mala baba "b" au mna watoto wawili?
post using my macbook air pro using jamiiforums