Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Mkuu kwa sasa nimeolewa na Yesu. Nimeacha ya kale
Kwa kuwa umeamua kuja kimaandiko wacha nikufunulie... Unakumbuka wakati Yesu alienda kupiga misele jangwani hadi akakutana na ndugu shetani wakati akiwa na njaa hadi bwana mdogo akataka kumjaribu abadili jiwe kuwa mkate tayari Yesu alikuwa ni Mwana wa Mungu? Jiulize kilichompeleka kuzunguka huku na huko!
Kama hiyo haitoshi kumbuka Scene ambayo alikutwa na mwanamke msamaria kisimani akimwambia anataka kumpa maji ya uzima...alishindwaje kuwatuma kina Petro? Kisima cha kale hakifukiwi eroo...