Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Nawe pia usiku mwemaNiwatakie usiku mwema makapuku wenzangu....
Nawe pia usiku mwemaNiwatakie usiku mwema makapuku wenzangu....
Sweet dreamz to youThanks my kaka
Katavi karibu, umeleta zawadi gan toka katavi!Mko poa makapuku??
Oooh Mungu akubariki, mimi hujaniudhi bali mimi nimekuudhi nisamehe broo. Nakupenda kakaWakuu kabla ya kulaa naomba nitoe angalizo moja....
Nimekuwa mtu wa jokes sana hapa Ukapukuni kuna watu kama jambilo na wengine nimewakosea sababu ya utani wangu.
Please naomba tusameheane sisi sote ni wa baba mmoja hakuna haja ya kgombana.
Nawapenda wote.
Tutaonana mungu akipenda.
Good night.
Asali mbichi ya nyuki wadogoKatavi karibu, umeleta zawadi gan toka katavi!
Apology accepted mkuu...Wakuu kabla ya kulaa naomba nitoe angalizo moja....
Nimekuwa mtu wa jokes sana hapa Ukapukuni kuna watu kama jambilo na wengine nimewakosea sababu ya utani wangu.
Please naomba tusameheane sisi sote ni wa baba mmoja hakuna haja ya kgombana.
Nawapenda wote.
Tutaonana mungu akipenda.
Good night.
Mzee wa Ipuli
Daah lakini naskiaga mnatengeza radi huko, unaweza kutoa somo hapa!Asali mbichi ya nyuki wadogo
Daah ipuliIpole ni mji kabla ya kufika Sikonge ukitokea Mbeya na Ipuli ni Mtaa kabla ya Isevya ambayo yote ipo Mjini!
Hahahaah sio kweliDaah lakini naskiaga mnatengeza radi huko, unaweza kutoa somo hapa!
Tupo mkuu japo wengi wamelala, uko huru humu. Upsndo kwa sana likes ndo kwaoHahahaah sio kweli
Daah ipuli
Shemu vp umelala!Okay
Nipo macho shem!Shemu vp umelala!
Niah uko wapi dada!Natamani ningezaliwa enzi hizi ili niwe nacho inabidi niende kanisani na nijieleze kwa lawyer. Subiri nikipata pesa za kumlipa lawyer nitapost. Nisamehe bure ndugu yangu na usihangaike na watu kama mimi makapuku uchwara tusio na mbele wala nyuma. Never argue with a fool.
Sawa shemNipo macho shem!
Mkuu kwa sasa nimeolewa na Yesu. Nimeacha ya kaleMzinga wa zamani haukosi chochote mkuu, ukikosa nta hutakosa hata masega...uwe unakuja kuukagua ili nyoka na mijusi wasigeuze pango maana vijana wa siku hizi ni kama mijusi wanaingia na pasipoingilika!