Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahahah nimekubali hii
Hahahah nimekubali hii
Itakuwa sisi sio wafanyakazi, ndo maana hakuna mei mosi hapa.Dah... kweli ni makapuku, yaani hamjui hata kama leo ni mei mosi![]()
Ndiyo mkuu.Dah... kweli ni makapuku, yaani hamjui hata kama leo ni mei mosi![]()
Brother vipi?Itakuwa sisi sio wafanyakazi, ndo maana hakuna mei mosi hapa.
Pole.
.Brother vipi?
Salama kaka, habari ya mwamko?Brother vipi?
Hee... mbona hatari!?
Yawezekana kabisa da lizzyHahahaha labda
Salama kabisa brother.Salama kaka, habari ya mwamko?
Na kwako pia braza.
Muache uchumba sugu.Yawezekana kabisa da lizzy
Uoe mapema kabla hujaletewa hyo keki.Hee... mbona hatari!?
Ni mwema siku zote kaka.Salama kabisa brother.
Mungu ni mwema.
Tunajipanga kwanzaMuache uchumba sugu.
Jpili imekaa poa tu kaka.Ni mwema siku zote kaka.
Mambo mengine vipi braza?
Hahahaa, mambo babe!Hahahah nimekubali hii
Namshukuru Mungu nilishakamilisha hilo siku nyingi kidogo.Uoe mapema kabla hujaletewa hyo keki.
Mtajipanga humo humo.Tunajipanga kwanza