Makapuku Forum

Leo katika Historia

1979 - Rais wa Iraq, Ahmed Hassan Al- Bakr anajiuzulu na nafasi yake inachukuliwa na Saddam Hussein.

Ndiye rais wa kwanza wa Irak
Aliingia madarakani July 1968 baada ya kuuondoa utawala wa kifalme uliosimikwa na King Faisal I kuanzia mwanzoni nwa miaka ya 1920(nilieleza juzijuzi)
Alifariki dunia Oktoba 4 1982
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…