Ngoja nikusimulie habari ya kijana mmoja kijana mtanashati mpole kipenzi cha wengi anazo sifa nyingi lakini kuu kwake ni upendo
Siku moja alikutana na mwanamke msamalia kisimani kijana kamuomba maji mwanamke nae kamuuliza tangu lini wayahudi na wasamalia tukashikama
Kijana akamwambia ungejua me ni maji yaliyo hai ungekuja kwangu unywe maji ili usiwe na kiu tena
Mimi aliniona nilivyokuwa nimechoka nimechakaa kijana kanipenda kanichukua kanitengeneza
Thamani ya wokovu wangu anayejua ni Mwokozi wangu
Daah Baba D nampenda huyu dada atanifanya niokoke aisee kwa nyimbo zake